JongoweJongowe ni miongoni mwa vijiji viwili vilivyomo ndani ya kisiwa cha Tumbatu, ambacho kipo kiasi cha meli 3 kutoka bandari ya Mkokotoni. Jongowe ni kijiji cha kihistoria kilichomo ndani ya Wilaya Ndogo ya Tumbatu, Wilaya ya kaskazini A Unguja, Mkoa wa Kaskazini Unguja/Zanzibar-Tanzania. Katika sensa iliyofanyika mwaka 2022 wakazi wa kata walihesabika kuwa 3,821 [1]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 4,367 waishio humo. [2] HistoriaKulikuwa mahali pa makazi ya Waswahili wa kale katika pwani ya Bahari ya Hindi. Tazama piaMarejeo
|