Kitu hicho ni chenye kung'aa sana, na chanzo cha redio za angani na chenye mchanganyiko mkubwa wa mahala pamoja. Jina Sagittarius A* linafuata kutokana na sababu za kihistoria. Mwaka 1954[9]John D. Kraus, Hsien-Ching Ko, na Sean Matt waliorodhesha vyanzo vya redio walivyovitambulika kwa darubini ya redio ya Chuo Kikuu cha Ohio State[10] katika 250 MHz (mawimbi ya redio). Vyanzo hivyo vilipangwa na kundi la nyota na barua waliyopewa ilikuwa haielewwki, huku A ikiashiria chanzo cha redio angavu zaidi ndani ya kundi hilo. Asterisk ni kwa sababu ugunduzi wake ulichukuliwa kuwa "wa kusisimua"[11], sambamba na nomenclature kwa atomi za hali ya kusisimua ambazo zinaonyeshwa na asterisk (kwa mfano hali ya kusisimua ya Helium ingekuwa He*). Asterisk ilipewa (andikwa na_) na Robert L. Brown, mwaka 1982[12], ambaye alielewa kuwa uzalishaji mkubwa wa mawimbi redio kutoka katikati ya galaksi ulionekana ni kutokana na compact nonthermal radio object (kitu chenye mgandamizo mkubwa ya mawimbi redio).
Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Sagittarius A* kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.