Share to:

 

Uwanja wa Michezo wa Q&A Miyagi

Uwanja wa Michezo wa Q&A Miyagi

Uwanja wa Michezo wa Q&A Miyagi ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani. Ambao ulizinduliwa mnamo mwaka 2000 kwenye mji wa Rifu, Miyagi nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Vegalta Sendai (select matches) na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 49,133.[1]

Marejeo

  1. "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Q&A Miyagi kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Prefix: a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9

Portal di Ensiklopedia Dunia

Kembali kehalaman sebelumnya